Monday, January 9, 2012

DIAMOND YUPO MAHAKAMANI MJINI IRINGA LEO

DIAMOND



Msanii Diamond na mcheza show wake wakiwa nje ya mahakama ya Mwanzo Iringa mjini.
...hii ndio gari ambayo Diamond ametumia kufika mahakamani leo asubuhi...
MSANII wa muziki wa Kizazi kipya Diamond amewasili mjini Iringa na atapandishwa kizimbani ktk mahakama ya Mwanzo Bomani asubuhi hii ,mapaparazi wajipanga mahakamani kupata picha za tukio hilo...

 
Mdhamini wa msanii Diamond Edo Bashir, Kushoto akizungumza na mwanahabari maarufu mkoani Iringa Francis Godwin ambaye ndie mlalamikaji katika kesi hiyo...katika viwanja vya mahakama.

No comments:

Post a Comment