Tuesday, January 10, 2012

DIAMOND NAWEZAKE WATOKA JELA

HUKUMU YA DIAMOND YATOLEWA!
,,,hatimaye hukumu ambayo imekuwa ikigonga vichwa vya habari hapa nchini na mkoani Iringa iliyokuwa inamkabili msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya DIAMOND "The Platinumz" na wenzake kwa kosa la kumshambulia mwanahabari imesomwa leo muda si mrefu na msanii huyo amehukumiwa kwenda jela miezi sita au kulipa faini ya shilingi za kibongo 50,000 kila mmoja,,,lakini msanii huyo amelipa faini hiyo na kuachiwa

No comments:

Post a Comment