Taalifa toka kwa msanii wa filama na Muimbaji wa Bongo fleva,Asema kuwa ilikuwa leo asubui akiwa anatoka Burundi nakuelekea nyumba Dar es salaam,ila walipofika maeneo ya Mikese(Moro) Walipata ajali hiyo iliyousishwa na basi la TAQWA.Sharo anasema kwa upande wake yeye ameumea kiasi chake kwa kukatwa na vioo maeneo mbalimbali ya mwili.
Na hapa akiwa anasema kilichotokea:
Na hapa akiwa anasema kilichotokea:
No comments:
Post a Comment