Sauti Ya jogoo Ya Nikki Mbishi Kupatikana Itunes
Album ya Sauti ya Jogoo ambayo imeanza kuuzwa kwenye baadhi ya maduka mbali mbali jijini Dar Es Salaam sasa inapatikana kwenye mtandao wa Itunes Kwa watu ambao wako nje za ng'ambo na wale ambao wako nchini wenye uwezo wa kununua kwa card zao za Visa na MasterCard
No comments:
Post a Comment