MTOTO WA BIBI CHALII CHAPLIN ATOA KAULI KUHUSU MAFISADI
Mtoto wa bibi a.k.a. chalii chaplin toka Jambo squadere bidengere amekuja roundii kwa kishindo na machizi wa vatoloco na remix version ya track ya "ngastuka" ambayo imerekodiwa chini ya producer dx a.k.a defxtro pande za Noizmekah Arusha,'Katika track hiyo wamewachana Raia na viongozi wa nchi wanao fanya mambo ya kifisadi na kutusababishia kuingia katika mikataba ambayo haina tija,na wao kufaidika na 20%ambazo hulipwa wao na familia zao huku watanzania wengi wakibaki masikini....
No comments:
Post a Comment