Thursday, December 22, 2011

Moplus na Tshirt za "MoveMent"

Hiphop MC Moplus,baada ya kuachia ngoma ya "movement" alowashirikisha Adomido pamoja na SlimDizzy,Ngomailopokelewa vema tu katika media kadhaa nchini,sasa amewapa nafasi mashabiki zake wote kunyuka Tshirt za "MoveMent" kwa elf kumi tu!!!!'asema "Project zangu za kimziki nazifanya kwakuwashirikisha wadau na mashabiki zangu ambao kwa ujumla ndio jamii kwa pamoja,I love ma people coz they Love me!Much love kwa Vinega juzkati kutupa burudani katika Antivirus show,nilijifunza kwamba Artists/Mcs especially wa hapa arusha tunatakiwa kuungana na kufanya kazi kwasababu maslahi yapo sana,ni nidhamu na bidii imekaa kushoto otherwise we all get support from our fans,radio zisitudalalie wala kutugawa,join the movement!!!MUZIKI UNALIPA..

No comments:

Post a Comment