Sunday, December 4, 2011

HAPPY BIRTHDAY CLOUDS FM, 12 YEARS IS NOT A JOKE ILIKUWA HIVI JANA

birthday cake ya Clouds ikiwa ni namba 12

Jana kuanzia asubuhi vipindi vyote vya redio clouds vinaruka live kupitia Clouds Tv kusherehekea miaka 12 tangu kuanzishwa kwake.
producer wa power breakfast, Jimy jams akiongea machache na mtangazaji wa kipindi hicho Gerald Hando
watangazaji wa Pb Babra Hassa, Pj na Gerald

Leo tena walipokuwa wakifanya mazungumzo na waigizaji wa kitambo,Bishanga pamoja na Dokii
Baba wa marehem Amina Chifupa akiwa na mjukuu wake , Rahman Mpakanjia ambae leo pia ni birthday yake.

ndani ya studio za Clouds Fm

Dj Pq

D Andy, unamsikia kwenye 255 ya XXL

Tukiwa live na kundi la long time kitambo, Manzese Crew

msanii mwenye umri mdogo kuliko wote Tanzania Asley nae alikuwepo kushow love

kutoka kulia ni fetty, madee, bob jr na B12

Time ilifika kwa Maunda na Banza stone



Dj ziro

we takin over, hot 3 crew, Fetty,Adam Mchomvu na B12

mkurugenzi mkuu mtemndaji wa prime time protions Johaina akiwa na mbunge wa ubungo, Johm Mnyika wakisubiri kufanya mahojiano na Kibonde katika jahazi

No comments:

Post a Comment