Wednesday, October 12, 2011

NAVIO WA UGANDA APIGA MZIGO NA DEMARCO


DANIEL KIGOZI AKA NAVIO
Daniel Kigozi aka Rapper Navio toka Uganda,pamoja na kufanya poa sana kimataifa kufikia kupata shavu la One 8 na Airtel na kupiga mzigo na big name artist,R Kelly na wasanii kibao toka Afrika kwa sasa amezidi kutafuta mashavu zaidi baada ya kuwa kwenye mishe mishe za kufanya collabo na

COLIN DEMAR EWARDS - DEMARCO
Jamaican Dancehall & Reggae Artist,Colin Demar Edwards aka Demarco,ambaye alitamba sana na ngoma kibao ikiwemo ya No Games na kuwa one of the biggest dance hall songs duniani

No comments:

Post a Comment