Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Production, Rita Poulsen akimkaribisha mwanamuziki wa Mr fFavour mwenye fulana ya Asernal kutoka Nigeria na Daniel Kagonzo aka Navio wa Uganda tayari kwa onyesho la BSS kesho kwenye ukumbi Diamond Jubilee, ambapo kesho ndiyo fainali na washiriki wanne ndiyo waliobakia.
No comments:
Post a Comment