Friday, October 28, 2011

FRANK MEMORI KUTOKA MBEYA HADI A-TOWN


Frank Memori msanii chipukizi toka pande za Mbeya mwenye maskani pande za Arachuga kwa sasa,anakuja na ngoma yake ya kwanza aloipa jina "imegundulika" na humu ndani ameimba na mwanadafada Narx,ngoma hii nimerecodi Noizmekah studios Arusha,mashabiki mnipokee........

No comments:

Post a Comment