Wednesday, October 26, 2011

BI KIDUDE NI MZIMA WA AFYA

Bi KIDUDE 
Kuna taarifa za uzushi zinazoendelea katika mitandao mbali mbali, kama Facebook pamoja na BBM kuwa, legendari wa mziki Tazania Bi Kidude amefariki dunia.kwa taarifa nilizozipata ni kuwa, B kidude yupo hai na bado anaendelea kupeta.

No comments:

Post a Comment