Monday, October 24, 2011

ARTIST RABADABA TOKA UGANDA AFUNGA NDOA..

Artist toka Uganda,Faisal Seguya aka Rabadaba amemuoa baby mama wake na longtime girlfriend Sheila Ferguson



SHEILA vs RABADABA
Pamoja na harusi hiyo kufanyika ila fans wengi wamefunguka kuwa Rabadaba amefuata shavu tu toka kwa Sheila coz alitafuta sana visa ya kuingia UK na Sheila ni raia wa kule na kabla ya hapo familia ya sheila ilikua haimuamini sana Rabadaba lakin kufuatia kufungwa ndoa hiyo iliyokua ya kimya kimya bila sherehe,itapunguza pressure hiyo na kwa sasa Rabadaba na Sheila wanajiandaa na honeymoon kwenda pande za Jamaica au visiwa vya Seychelles....anytime from now!

No comments:

Post a Comment