Monday, September 12, 2011

Wanaume wavamia Mji wa Reading


 
Mwenyekiti wa CCM UK Owino( mwenye koti la suti ya pundamilia) akiwa na kina Chegge
 
 TMK wakila pozi na wadau wa Vincent
 
 Mwenyekiti wa CCM Maina Owino akila Pozi na mdau Joel Chacha
 
wakati wa kukandamiza msosi  wa kibongo, ugali
 
umeona nguna hii, hata UK ipo!
 
 Gemu linataka kuanza
Temba akila timing
Urban Pulse Inawaletea Picha za matukio ya ziara Fupi waliofanya wanaume TMK Chege na Mhe. Temba katika Mji wa Reading wakiongozana na mapromota wao. Kama ilivyokuwa ada kituo cha kwanza kilikuwa ndani ya Mgahawa Vincent ili kuweza kukutana na wabongo vilevile kupata msosi wa ukweli wa kibongo. Mwenyekiti wa CCM nchini Uingereza Maina Owino alipata fursa ya kuongea nao na kubadilishana habari pamoja na wadau wengine waliofika. 


Baada ya msosi TMK walicheza gemu la pool na kutoka ngoma ndroo

No comments:

Post a Comment