Nominees wataowania Tuzo za 3 za Kalasha Film & TV Awards za nchini Kenya,wamewekwa hadharani
Kalasha Film & TV Awards ni tuzo zenye lengo la kuthamini utamaduni wao wa filamu na kuwahamasisha local producers wafanye kazi bora na nzuri na iko chini ya Kenya film Commission,ambao wana jukumu la kuendeleza na kuitangaza local film industry,huku utoaji wa tuzo utafanyika tarehe 23 September,2011
No comments:
Post a Comment