Friday, September 16, 2011

SEAN KINGSTON KUFANYA SHOW NA AY UGANDA LEO

 
Mtu mzima AY yupo jijini Kampala kukinukisha leo usiku pamoja na wasanii kutoka sehemu tofauti tofauti. Wasanii hao nipamoja na Sean Kingston, Mr. Flavour, P.Unit, Lamyia na wengine wengi. Watu wa Kampala Uganda hapana kukosa show hii kali na yaaina yake.

KISEAN ANDERSON - SEAN KINGSTON
 
Mkali toka Jamaica Kisean Anderson aka Sean Kingston anatarajiwa kupiga show pande za Lugogo Cricket Oval jijini Kampala-Uganda
Sean Kingston alitia maguu nchini Uganda jana akitokea pande za Washington DC,na show hii ilikua ifanyike mwezi July,2011 lakini alipata jet ski accident iliyosababishwa alazwe na kufanya show hiyo iahirishwe
Habari na:
Dj Choka

No comments:

Post a Comment