Friday, September 30, 2011

SAM WA UKWELI NDANI YA KENYA

FACEBOOK NEW: Kenya mpo tayariiii? Ilikuwa Musumbiji juzi nikiwa na mwanangu Endru G. Sasa nipo ndani Kenya watu wangu mkae mkao wa kupata burudani kali kutoka kwa Sam wa ukweli.

No comments:

Post a Comment