Tuesday, September 6, 2011

Ray C AJIHIFADHI KENYA KWA SASA ............!

REHEMA CHALAMILA AKA RAY C - TZ ARTIST
Vyombo vya habari vya nchini Kenya vimefunguka kuwa,Rehema Chalamila aka kiuno bila mfupa aka Ray C toka TZ kuwa amehamia mazima kwa 'kibaki' nchini Kenya
Imefunguliwa kuwa Ray C alikua pande hizo tangu mwaka jana ya last year,mara tu alipofanya collabo na Artist M-Kenya Mr French track iitwayo Moto Moto na kuamua kubaki pande zile kutengeneza chapaa na kwa sasa anakaa pande za Ngara Estate na shosti zake na haonekani kama amepa miss,home sweet home alipotokea Tanzania hali inayowafungua watu kuwa huenda akaomba hata uraia wa 'Kwa Kibaki'

No comments:

Post a Comment