Mh mbunge akitafakari jambo katika eneo la sido ambapo sehemu kubwa ya soko lilikuwa limekwisha teketea kabisa pia anatoa Pole kwa Wakazi wote wa Jimbo la Mbeya Mjini na kuwasihi wawe Wavumulivu katika Kipindi hiki Kigumu.
Mabaki ya vibanda pamoja na maduka yaliokuwepo katika eneo hili , ina semekana kulikuwa na wafanya biashara zaidi ya 1400 katika soko hili
Sugu akipita huku na kule kuhakikisha kazi ya uzimaji moto ina endelea
 |
| Soko la mwanjelwa eneo la sido mbeya lawaka moto chanzo mapaka sasa hakijajulikana |
 |
| Moto mkubwa ukiendelea kuwaka |
 |
Baadhi ya mabanda sokono hapo tayari yameteketea kabisa na moto
Ungana na mbunge wa Mbeya mjini kupitia picha, alipotembelea soko la sido, Mwanjelwa Mbeya kukagua madhara ya janga la moto na kuwafariji wahanga kupitia |
No comments:
Post a Comment