Nimasikitiko makubwa kwa ndugu zetu na Watanzania wote,kwa janga ili lililotokea Zanzibar.
BFL tunazidi kutowa pole kwa ndugu na jamaa walio fikwa na janga hili.

walionusurika wakiomba msaada wa kuokolewa



askari wakibeba maiti za watoto



mama akipita kutambua ndugu na jamaa katika maiti zilizokuwa hapo

ndugu wakilia kwa uchungu

makaburi yakiwa tayari kwa ajili ya kuwazika

ndugu na jamaa washusha maiti ndani ya kaburi
No comments:
Post a Comment