Saturday, September 24, 2011

MENSEN SELECTOR AWATEMA MEXICANA LACAVELA



Mwanamuziki aliyefanya poa na ngoma yake ya NYAMU NYAMU na producer wa ngoma za kundi la Mexicana Lacavena, Mensen Selekta amejitoa rasmi kwenye kundi hilo na kuamua kufanya kazi kivyake, sababu ikiwa ni kutokuwa na nidhamu na kufanya maamuzi bila kukubaliana katika kundi
mexicana ilikuwa inaundwa na Baghdad, Climax,Chibwa na Mensen mwenyewe

No comments:

Post a Comment