Jina kamili naitwa Benjamin Baya na Fash P ndilo jina langu niwapo jukwaani. Mashujaa ni ngoma yangu ya tatu na nimemshirikisha Sha Biggy kwenye chorus. Tumeifanya studio inaitwa Crack Sound iliyoko Kilifi, pwani ya Kenya chini ya mkono wa producer Jay Crak. Ni hip hop ambayo kila nachosimulia ndani ni matukio ya ukweli.
Fash P ft, Shaa Big - Mashujaa

No comments:
Post a Comment