Friday, September 30, 2011

M Lab KESHO KUAMIA MBALAMWEZI BEACH

Kwa wale wasanii wanaotafuta nafasi yakurecord katika studio za M Lab bilashaka kesho ndiyo siku pekee yakuonyesha uwezo wako mbele ya wana M Lab ndani ya Mbalamwezi beach club Mikocheni karibu na Cine club, kisha waweza kujinyakulia nafasi yako kwa kiingilio cha shilingi elfu tano tu mlangoni.

No comments:

Post a Comment