Sunday, September 25, 2011

Katibu wa TA Reading na Mkewe Wameremeta!

Harusi ya nguvu iliyofanyika Jumamosi Tarehe 25 septemba  2011 Katika ofisi ya Reading Registrar  kati ya Katibu wa Tawi la TA Hapa Mjini Reading Amri Dello na Alice Kapya.
 
Baada ya Kufunga pingu za maisha tafrija ilifanyika ndani ya Boat na kuzunguka mitaa ya berkshire hadi  windsor kwa Queen na kumalizikia katika Mji wa Reading.
Wadau mbalimbali walikuwepo katika sherehe hii akiwepo Mh Balozi wetu Peter Kallaghe.
 
BFL inapenda kuwapa hongera sana Maharusi wetu na kuwatakia kila la kheri katika safari yao ndefu walioianza leo.
MUNGU AWABARIKI,





By: URBAN PULSE CREATIVE

No comments:

Post a Comment