Monday, September 5, 2011

JOYCE KIRIA & HENRY JOSEPH JUMLA........!




Joyce Kiria
Mwanadada Joyce Kiria ambaye kwa sasa ni mke wa mtu, amefunga ndoa na Henry Joseph na baadae sherehe fupi iliyofanyika katika Hoteli ya Atrium Sinza Africa Sana, Dar
Wakivishana nondo zao za maisha 
Joyce Kiria, Shamimu wa 8020 Fashion, bwana harusi Henry Joseph na Dominic Nyalifa wa EATV

Bw Henry John Kileo na Bi Joyce Kiria....Wakionesha viti vya ndoa baada ya kufunga ndoa.

No comments:

Post a Comment