Saturday, September 3, 2011

CHANTE MOORE ALIVYOPAGAWISHA MOVENPICK HOTEL


CHANTE MOORE
 Mwanamuziki kutoka pande za kwa Obama,Chante Moore, akiwapagawisha mashabiki wake katika onesho maalum lililoandaliwa na uongozi wa Choice FM kwa ushirikiano wa Clouds FM ndani ya ukumbi wa Movie'n Pick.

No comments:

Post a Comment