Wasanii na Radio Prezentaz toka Zanzibar wameandaa tamasha maalum kwa ajili ya kuwaomboleza waathirika wa ajali ya meli ya Mv Spice Islanders
MAO TSE TUNG STADIUM - ZANZIBARWasanii na Radio Presenters watacheza na timu ya Wizara ya Habari,Zanzibar.Jumamosi ijayo ya tarehe 24 September,2011 kwenye Uwanja wa Mao -Tse-Tung ambapo mgeni rasmi anatazamiwa kuwa Makamu wa Pili wa Rais-Zanzibar,Balozi Seif Ally Idd na wamealikwa viongozi,wafanyabiashara na wageni maalum ambao watachangia pesa na kupelekwa kwa walioathirika na ajali hiyo

ALLY MOHAMED ALLY AKA AT - ZANZIBAR ARTIST Msanii AT amepoteza mama zake wadogo wawili,na wadogo zake watatu kwenye ajali hiyo na Wasanii na presenters wote watalipa kiingilio kwenye tamasha hilo maalum.Pia msanii yoyote toka Tanzania Bara anakaribishwa
No comments:
Post a Comment