Luga Flow Artist Rabadaba toka Uganda inasemekana ameuza bar yake aliyoifungua hivi karibuni jijini Kampala iitwayo Badabara Bar
Badabara Bar ilifunguliwa miezi 3 iliyopita na imefunguliwa kuwa Rabadaba alikua kwenye mishe mishe za makubaliano ya kuiuza na askari wa Jeshi la Uganda (UPDF) aitwaye Emma ambaye ana mapango wa kuinunua
No comments:
Post a Comment