BONGO DAWN TOWN
Wishing you all the best Lulu. Happy 18th Birthday.Mwigizaji Elizabeth Michael (Lulu)
ambae kwa sasa yuko nje kwa dhamana kutokana na kesi inayomkabili ya
kuua bila kukusudia, amefanya party kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa
April 17 ambapo aliandika kuhusu umri wake kwenye hii picha ya kwanza ya
keki hapa chini ili kuondoa utata ambao ulijitokeza ambapo taarifa
nyingine zilisema amezidi miaka 18 lakini nyingine zikisema yuko chini
ya miaka 18.
The birthday girl herself who just turned 18 like caption on the cake & her comment below the says.

Awwww so gorgeous Lulu & her lil brother

A birthday kisses to his gorgeous sister

Mama Lulu all smiles & relaxed

Dinner was served


Lulu's number one supporter Dr, Chain was there too she calls him 'Baba" meaning daddy

Ali Kiba in the house

With a friend

Lulu giving a word of thanks

Receiving a present from a friend


Beautiful

No comments:
Post a Comment