Monday, June 18, 2012

YALIOJIRI KWENYE EPIQ BONGO STAR SEARCH 2012 DODOMA

Chuma Blog
 
Huyu mshiriki alijulikana kama  Grace alifanya vyema
                             
                     Mmoja wa Washiriki akionyesha kipaji chake  
Madam Rita Akitoa damu...

Majaji wakijadiliana

Mshiriki  Joha, akimkabithi Madam Rita mtoto wake kabla ya kuanza kuimba

Mshiriki mdogo kuliko wote katika mchakato wa kupata washiriki huko Dodoma akiulizwa umri wake

Mshiriki Fabian Peter  akitoa burudani wakati akisubiri  kuingia kwa majaji

Mpiga picha wa Benchmark productions akiwa na watu wa damu salama akijiandaa kutoa damu

Majaji wakifanya majadiliano

No comments:

Post a Comment