Chuma Blog
FILAMU Kubwa kutengenezwa Swahiliwood na vijana wa kizalendo ya CPU
imechaguliwa kuwa ni mojaya filamu zitakazoonyeshwa na kushindanishwa
katika tamasha kubwa la filamu la Zanzibar International Film Festival
(ZIFF), filamu ya CPU ni filamu ya kipekee iliyotengenezwana Kampuni ya
Haak Neel Production kwa ushirikiano na kampuni ya Wegos Works Ltd zote
za jijini Dar es Salaam.

Wasanii waliocheza filamu kubwa ya CPU Swahiliwood katika picha.
No comments:
Post a Comment