Friday, February 3, 2012

NEW SONG: Mr.Nice -Tabia gani"

 Play hapo chini:

Baada ya kukaa nje ya game kwa miaka kama saba hatimae mfalme wa takeu amerudi tena upya na track ya kwaito inayoitwa "Tabia Gani" nyimbo ambayo imefanywa chini ya Studio za Fish crab chini ya producer Lamar

No comments:

Post a Comment