
Heshima zenu Wadau wote Nilikuwa napenda Kuwatambulisha Kwenu Blog mpya ya Rural and Urban ambayo itakuwa ikizungumzia maisha hayo zaidi ya mjini na Vijijini. Karibuni sana ukiona Link hii mpatie na mwengine.
Natanguliza Shukrani zangu asanteni.
Kutembelea Libeneke hili Bofya hapa: www.mrs-ca.blogspot.com
No comments:
Post a Comment