Wednesday, January 18, 2012

New Song: Fid Q - Ielewe Mitaa








Ielewe mitaa ni track ya Fid Q msanii wa Hip Hop ambayo  ni nyimbo ya kwanza kutoka ndani ya album yangu ya 3 ya Fid Q itakayoitwa 'KitaaOLOJIA'..ni Track Ambayo Fareed Kubanda or Fid Q ameitoa pamoja na Video Yake ambayo ilifanywa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment