
Marehemu Mr Ebbo
msanii Mr Ebbo ambae alipata umaarufu kwa stile yake ya kuimba kwa lafudhi ya kimasai, amezikwa leo nyumbani kwao Arusha.
Taarifa kutoka kwa ndugu zake wa karibu zinasema kwamba Mr Ebbo alikuwa akisumbuliwa na kansa ya Damu kwa kipindi kirefu mpaka mauti kumfika.
Mungu Ailaze roho ya Marehemu Mr Ebbo mahali pema peponi.
Amina

No comments:
Post a Comment