
MIAKA 15 SII MCHEZO HONGERENI G-RECORDS.

MKURUGENZI MWENYEWE WA G-RECORDS.

UMATI WALIJIKUSANYA KUSHEREHEKEA NAO

WALIBURUDISHWA NA WASANII WA KIZAZI KIPYA CHA BONGO FLAVA


KATIKA KUSHEREHEKEA HUKO WALIWEZA KUTOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA

HUU NI MFANO MZURI WA KUIGWA KWA RECORDS NYINGINE ZA KITANZANIA.

G LOVER AKIWA STUDIO

KUNDI ZIMA LA G-RECORD
No comments:
Post a Comment