

Director  wa live kutoka clouds ni Mully B akiangalia kwa ukaribu ticketi  zilizokua zikitolewa kwa wasikilizaji kwa ajili ya show ya straight  music intercollege special bash itakayo fanyika siku ya jumamosi viwanja  vya leaders

Adam mchomvu

interview ikiendelea

kiranja mkuu Perfect nae alikuwepo

huyu  alipata nafasi ya kuwa mtu wa hamsini kupata ticket hivyo kupata nafasi  ya uwa back stage siku ya tukio na kuchonga na wasanii kubao watakao  kuwepo pamoja na Fabulous na DMX kutoka marekani
No comments:
Post a Comment