Sunday, November 13, 2011
TAMASHA LA STR8 MUSIC INTER COLLEGE 2011-DODOMA
Msanii Barnaba akifanya show katika tamsha la STR8 MUZIK INTER COLLEGE SPECIAL 2011 katika Viwanja vya Royal Village
Walimbwende wakiserebuka ngoma za Juma Nature aka Kibra wakati alipopanda jukwaani
Mashabiki wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya Royal Village mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo(J mosi,J pili)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment