![]() |
Sara Lundström aka SaRaha |
Sara Lundström aka SaRaha (linatamkwa kama “furaha”) ni msanii anayefanya kazi zake kwenye studio za Usanii Production. SaRaha analeta sauti ya kipekee kabisa katika tasnia ya Bongo Flava (tanzania). Baadhi yenu mnaweza mkawa hamjawahi kumsikia, lakini ucheshi wa mashairi yake utakufanya utake kujua zaidi juu ya hii nyimbo...........
DOWNLOAD AND LISN
No comments:
Post a Comment