Ltd,Godfrey Kusaga akitoa maelekezo mafupi,mara baada ya kuwasili kwa
msanii huyo Cabo Snoop na Crew yake jioni ya leo kwenye uwanja wa
Kimataifa wa Jk Nyerere.
zake kadhaa hapa nchini,kama vile wimbo wa Prakatatumba na Windek,baada
ya kulitikisha jiji la Nairobi kwenye tamasha la Tusker All Stars 2011
lililofanyika jana,jioni ya leo ametua jijini Dar kwenye uwanja wa
Kimataifa wa JK Nyerere akiwa ameambatana na Crew yake,msanii huyo
anatarajiwa kutumbuiza Oktoba 9, ambayo itakuwa ni siku ya kifamilia
a.k.a Family Day kwenye viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini
Dar.Pichani mlangoni shoto ni Cabo Snoop akiwa ameambatana na mwenyeji
wake kutoka Kampuni ya Prime Time Promotion,Balozi Kindamba,mbele kabisa
ni Meneja wa msanii huyo.
Muandishi na Picha: MICHUZI JR


No comments:
Post a Comment