KEKO JOCELYN - UGANDAN HIP HOP ARTIST
Female Hip-Hoper toka Uganda,Keko Jocelyn na Artist wa zamani wa kundi la Obsessions,Sheebah Karungi inasemekana wako kwenye beef zito la kugombea 'handsome boy'

SHEEBAH KARUNGI - OBSESSIONS
Imefunguliwa kuwa Keko alimkamata Sheebah akimbusu jamaa yeke kwenye parking pande za Buddies Bar na baadaye hakufanya lolote baya ila kuagiza kanywaji Bar aina ya Red Label na kunywa kwa fujo
Lakini baadaye alikwenda home na kumsubiri Sheebah arudi na kumuanzishia sebene na kuvunja kila kitu kilichokuepo ndani,kabla ya shosti aliyemsindikiza Sheebah kupiga kelele na kuwaita majirani na kwa sasa Keko ametishia kuhama kwa kuwa wamechuniana
No comments:
Post a Comment