Nikiwa katika eneo la Mkambalani,Wilaya ya Mvomelo ambapo kila baada ya wiki mbili ufanyika mnada wa mifugo |
kwani hii ndio moja ya burudani hiliyo nifanya kufika hapo katika mnada huo |
Kwani nilikuta watu wakitafuna nyamba,nikawauliza kunaumbali gani toka mjini hadi mnadani wakasema kuwa ni 52 Km,Ni kwajili ya nyamba tu wakasema ndio kwani nyama hii ni yakipekee. |
kama unavoona nyama inavo chomo kiasili na ukila ilakuwaje ? |
kwani wamasai ndio wametawala katika eneo hilo na sio tu hao na wengine toka Morogoro na Dodoma |
Mi na Mdau wangu |
No comments:
Post a Comment