Msanii wa muziki wa kizazi kipya ajulikanaye kwa jina la Mwanaisha Nyange a.k.a Dayna anatarajia kuachia ngoma yake ijulikanayo kwa jina la 'Nivute kwako' aliyoshirikiana na msanii aitwaye Barnaba ikiwa ni muendelezo wa ile nyimbo yake ya 'Fimbo ya Mapenzi' na anasema aliutunga siku yake ya kuzaliwa.
No comments:
Post a Comment