PAUL NUNDA - JUACALI Wasanii toka Kenya wamepata shavu Channel O kwenye project iitwayo Afrika Dreaming ambayo yenye lengo la kuwatangaza wasanii wa Afrika na kutoa maono yao kuhusu bara la Afrika

HUBERT NAKITATE - NONINI
Waimbaji,songwriters na wasanii toka Afrika ni sauti ya Afrika na watatoa visions,hopes, dreams,aspirations na kufunguka kwa fans wao,Na artist kina Juacali,Nonini na Wyre,wataungana na HHP (South Africa),P Square (Nigeria),Crisis (Zambia),D Black (Ghana),MI (Nigeria),Navio (Uganda) na Proverb (South Africa)

KELVIN WYRE - WYRE THE LOVE CHILD
No comments:
Post a Comment