Saturday, August 20, 2011

SNAA LEE AJIPANGA KIMAISHA UJERUMANI KWA SASA




Msanii kitambo kwenye game aliezimika kiani baada kusepa zake nchini Ujerumani miaka kadhaa iliyopita, amabae kwa sasa ana mtoto mwenye umri wa miezi sita, huku akitarajia mwingine ndani ya wiki mbili zijazo Snaa lee zamani akiijita Snoop Lee sasa anajipanga kutengeneza mawe huko aliko ili akidondoka tu iwe ni mwanzo mwingine wa yeye kurudi kwenye game." mishe mishe za huku na kule pamoja na mtoto zimenifanya nijiweke karibu kanza na famili lakini nikirudi nakuaja na mawe ya kutosha" amesema Snaa lee

No comments:

Post a Comment