Kama ilivyoripotiwa hapo nyuma, msanii gwiji J MARTINS toka Nigeria ameachia ngoma mbili ambazo ameshirikiana na wasanii FALLY IPUPA toka Congo & CABO SNOOP toka Angola.
Ngoma hizo ambazo zitaipamba album yake itakayo kwenda kwa jina la " Da good life" ni 'Goodtym' ambayo yupo na Cabo Snoop na nyingine ni 'Kele Papa'. Sikiliza Hapa...
J Martins ft Fally Ipupa - Kele Papa
J Martins ft Cabo Snoop - Da Goodtym

No comments:
Post a Comment