Thursday, August 18, 2011

J Martins Kutoa Ngoma Na Cabo Snoop !

Msanii toka Nigeria  J Martins yuko mbioni kutoa ngoma kali mbili ambazo moja kati ya nyimbo hizo amefanya kijana machachali toka  nchini Angola mkali wa miondoko ya ' Kuduro ' Cabo Snoop. Wasanii hao walikutanishwa katika tamasha lililoandaliwa na MTV nchini Angola ambapo, wasanii kama Fally Ipupa, 2face & Cabo "windeck kid" walifanya mambo. Mashabiki kaeni mkao wa kula ...

No comments:

Post a Comment