Wednesday, August 10, 2011

HIP HOP CASH KINGS: JAY Z NAFASI YA KWANZA TENA

JAY - Z
Inaweza kuwa ni wiki bora zaidi kwa mwanamziki Jay Z, baada ya ile list ya Forbes kumtangaza kuwa yupo nafasi ya kwanza kwa wasanii wa mziki wa Hip Hop waliojiingizia kipato kikubwa zaidi kupitia kazi yao ya muziki kwa mwaka huu wa 2011, Jay z ameshika nafasi akifatiwa na msanii Diddy wa dirty money. Na nafasi ya tatu imekamatwa na mtu mzima Kanye West, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa Kanye West kurudi tena katika top three ya forbes list toka mwaka 2009,

Hii chini ni jinsi chati ya forbes inavyosomeka,
Jay Z kwa kipindi cha miezi kumi na mbili ameingizia $37million,

2. Diddy: $35million

3. Kanye West – $16 million

4. Lil Wayne (tie) – $15 million

5. Birdman (tie) – $15 million

6. Eminem (tie) – $14 million

7. Dr. Dre (tie) – $14 million

8. Snoop Dogg (tie) – $14 million

9. Akon – $13 million

10. Ludacris – $12 million

11. Wiz Khalifa (tie) – $11 million

12. Drake (tie) – $11 million

13. Pharrell Williams – $10 million

14. Timbaland – $7 million

15. Swizz Beatz (tie) – $6.5 million

16. Nicki Minaj (tie) – $6.5 million

17. Rick Ross (tie) – $6 million

18. 50 Cent (tie) – $6 million

19. Pitbull (tie) – $6 million

20. T-Pain (tie) – $5 million

21. B.o.B (tie) – $5 million

No comments:

Post a Comment