Washiriki wa tuzo za Channel O Music Video Awards wameshatajwa kwenye category tofauti na wasanii toka Nigeria wamejaa kwenye tuzo za mwaka huu na wako karibu kwenye vipengele vyote
Toka afrika Mashariki Artist toka Tanzania AY,Cpwaa na Shaa wamepata shavu,Kenya Nazizi,P Unit,Jaguar,Collo,Wyre na STL na Uganda ni Navio,Keko,Moze na Weazel

No comments:
Post a Comment