AY (TZ) vs ROMEO (USA)Artist toka Tanzania,Ambwene Yessayah aka AY amedondosha video ya track ya Speak With Your Body aliyofanya na American rapper Romeo na Lamyia waliyoigonga nchini Marekani...Juzi kati mwezi July

LAMYIA GOOD
Humo ndani AY amefunguka mistari ya kiswahili kuwakilisha zaidi kibongo na video inadaiwa imetulia na ujio wa Romeo ambaye ni mtoto wa Master P na Lamyia dada wa actor Meagan Good,umeifanya Speak With Your Body itulie zaidi....

Video imegongwa pande za HollyWood,California chini ya Director William Tikki & Shai Kedemaudio Na Produced Riley Guests toka No Limit Soldiers,amehusika na mishemishe za kupiga kichupa hicho...!
No comments:
Post a Comment