Thursday, July 26, 2012

NEW SONG: STAMINA FT RICH MAVOKO - NAJUTA (master)

Chuma Blog


SONG: NAJUTA
ARTISTS: STAMINA FT RICH MAVOKO
PRODUCER: KEVY
STUDIO: SNAP RECORDS
SONG WRITER: STAMINA & RICH MAVOKO
SONG DURATION: 03:50

INTRO
Rich mavoko:uoooooooooooooooooooooannnnnhhhhaaa{x3}
Stamina;izmoro town baby,imback,u know watkevy,thisiz so matured meeeen

Vers 1{stamina}
Shidazinaombaurafiki,umasikiniunaletaposa
Ukubwameliyakigiriki,nimezamiabila boxer
Bikrayautoto,imeshavunjwanabalehe
Ukubwaunamingimisoto,namchanganyowastarehe
Mara ooooh baba kijacho,etiniandaehelayanepi
Wife anatoamacho,anangoja shopping yasketi
Hakimuananyundoyanoti,mtuhumiwanasakachenchi
Bongo mahakamazajoti,mempokinabakibenchi
Hatanikimchukiabaniani,kiatuchake kina mchango
Mzinzinanyotayakijani,ndiouzaziusiokuanampango
Balehenoma,kamabaunsaaliyepigwanamtoto
Ukubwamechiyakisodoma,haiwezichezeshwanampoto
Aaaaahkasnakas,nikasiisiyokuanakasi
Ilanikiwekakasnakus,ndiokusipachawakasi
Bora wewejalala,meukubwashimo la choo
Ukichanganyanaufukara,ndiomechiisiyokuanadroo

Choruss{rich mavoko}
Kama nakufuru,mungunaombaunisamehe
Nakosauhuru,sikumbukihatatarehe
Kwelinajutakuzijuahizistareheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehh
Ehhhh me najutakubalehe
Ehhhhsikumbukihatatarehe
Eeeeujanamajiyamoto,zinaniunguzahizistarehe

Vers 2{stamina}
Maishangumiyabitozi,siogopikutegasura
Pesasitafutikwapozi,badonajinyimakula
Nishachokakusadiki,tomasotangunatangu
Marafikiwanafiki,wanasnitchhadikwamkewangu
Majukumuyafamilia,nimeyabebabilangata
Asilizimezidimia,desturizimenikamata
Hayamaumivuyamjeledi,kwenyengoziyamlemavu
Ukubwamechiyamabaamedi,memlevinafungwakavu
Aaaahmaishajabali,ugomviwachekana Tyson
Sikuhiziukinunuahatakagari,kitaaniunaitwa free mason
Maumivuyasufuria,jikonihayanaushuru
Pesatajiriwadunia,mwenyehisayanguyauhuru
Aisehsayansiimenikera,ukuajiumenipamsoto
Utu uzimabilahela,utamwamkiahadimtoto
Napopatamkwanja,nashidazinagongahodi
Vipinitanunuakiwanja,hukubadonadaiwakodi

Choruss{rich mavoko}
Kama nakufuru,mungunaombaunisamehe
Nakosauhuru,sikumbukihatatarehe
Kwelinajutakuzijuahizistareheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehh
Ehhhh me najutakubalehe
Ehhhhsikumbukihatatarehe
Eeeeujanamajiyamoto,zinaniunguzahizistarehe

Vers 3{stamina}
Ukubwamsafarawakenge,memjusivipiunichoshe
Penzikitovu cha uzembe,nakazanisiitwengoswe
Ugangstarbilahela,majibuyakeniuchafu
Maishaya bongo msosiwajela,somfungwausiuliziendafu
Nilizoeakashata,bumundanavibagia
Hukuunga,bangi,nabapa,ndiovitunavyovisikia
Chukinafitina,hadhinazawenyewivu
Wapowanaonishirikina,ilimotonigeukejivu
Udogoninilidekezwa,wazaziwalinipamalezi
Pesaimesomeaudereva,inaendeshahadimapenzi
Elimuyanjiazapanya,inanikoseshamichongo
Madeniyananiandama,kamaserikaliya bongo
Maishaniukiwagovinda,wenzakowatakuitayaya
Pesamnyamaanayewindwa,najangirialiyevuta kaya
Uwaziunanidondosha,badonarushiwakombora
Condom ndiokingatosha,sijikinginabastora

Choruss{rich mavoko}
Kama nakufuru,mungunaombaunisamehe
Nakosauhuru,sikumbukihatatarehe
Kwelinajutakuzijuahizistareheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehh
Ehhhh me najutakubalehe
Ehhhhsikumbukihatatarehe
Eeeeujanamajiyamoto,zinaniunguzahizistarehe

Bridge{rich mavoko}
Heriningerudiutoto,ujanamajiyamoto
Eeeeeeeeheeeeeheeeeeeeheeeeeeeehhh
Me najutakubalehe,menajutakubaleheeeeeeeh,menajutakubaleeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhh

Ontro{stamina}
Moro in da house,in da house
Moro town in da house,stamina in da house
Moro town in da house,stamina in da house
Ahahaha I luv hip hop

No comments:

Post a Comment